HEMA YA WASHINDI CHURCH.
Kanisa la Hema ya Washindi Center linawakaribisha katika ibada zinazofanyika kanisani hapo kama ifuatavyo:-
JUMANNE: Mazoezi ya kwaya (10:00 pm-12:00 pm).
JUMATANO: Ibada ya mafundisho (10:00 pm-12:00 pm).
ALHAMISI: Ibada ya wanawake (6:00 pm-7:00 pm)(Mchana).
IJUMAA: Ibada ya maombi (10:00 pm-12:00 pm).
JUMAMOSI: Mazoezi ya sifa na kuabudu (10:00 pm-12:00 pm).
JUMAPILI: IBADA YA NENO LA MUNGU (4:00 am-7:30 pm).
Kwa mawasiliano piga: 0783222757,0657787823 Au 0783035437.
Email:Hemayawashindi@gmail.com. Au tufuate kwenye facebook na U like page yetu (Elim hema ya washindi center)
''NJOO TUMSIFU MUNGU WETU KWA PAMOJA''.WOTE MNAKARIBISHWA NA MUNGU AWABARIKI.