Jumatano, 26 Oktoba 2016

IBADA YA SHEREHE YA UGAWAJI WA ZAWADI KWA WATOTO.

          
Waumini wa kanisa la Hema ya Washindi Center wakiwa katika Ibada ya sherehe ya ugawaji wa zawadi kwa watoto iliyofanyika kanisani hapo.


    Mzee wa kanisa la Hema ya Washindi Center Ndugu Damian Leonald akishiriki zoezi la ugawaji wa zawadi kwa watoto.

    Mjumbe wa vijana wa kanisa la Hema ya Washindi Center Ndugu Leonald Tunda akitoa matangazo katika ibada hiyo.


     Baadhi ya watoto wakipokea zawadi pamoja na wazazi wao katika Ibada ya sherehe iliyofanyika kanisani hapo.



                   Zoezi la ugawaji wa zawadi likiendelea kanisani hapo.



       Baadhi ya watoto wa kanisa la Hema ya Washindi Center wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ibada hiyo kumalizika.
    Watoto Zephania Hanania (kushoto) na Sedekia Tito wakiwa katika ibada ya sherehe iliyofanyika kanisani hapo.




  Waumini wa kanisa la Hema ya Washindi Center wakiwa katika kongamano la parishi ya Chalinze lililofanyika kanisani hapo.



Ijumaa, 18 Machi 2016

RATIBA ZA IBADA.

  HEMA YA WASHINDI CHURCH.

       Kanisa la Hema ya Washindi Center linawakaribisha katika ibada zinazofanyika kanisani hapo kama ifuatavyo:-

             JUMANNE: Mazoezi ya kwaya (10:00 pm-12:00 pm).

             JUMATANO: Ibada ya mafundisho (10:00 pm-12:00 pm).

              ALHAMISI: Ibada ya wanawake (6:00 pm-7:00 pm)(Mchana).

              IJUMAA: Ibada ya maombi (10:00 pm-12:00 pm).

              JUMAMOSI: Mazoezi ya sifa na kuabudu (10:00 pm-12:00 pm).

              JUMAPILI: IBADA YA NENO LA MUNGU (4:00 am-7:30 pm).

         Kwa mawasiliano piga: 0783222757,0657787823 Au 0783035437.

   Email:Hemayawashindi@gmail.com. Au tufuate kwenye facebook na U like page yetu (Elim hema ya washindi center)

                           ''NJOO TUMSIFU MUNGU WETU KWA PAMOJA''.
                
                        WOTE MNAKARIBISHWA NA MUNGU AWABARIKI.