IBADA YA SHEREHE YA UGAWAJI WA ZAWADI KWA WATOTO.
Waumini wa kanisa la Hema ya Washindi Center wakiwa katika Ibada ya sherehe ya ugawaji wa zawadi kwa watoto iliyofanyika kanisani hapo.
Mzee wa kanisa la Hema ya Washindi Center Ndugu Damian Leonald akishiriki zoezi la ugawaji wa zawadi kwa watoto.
Mjumbe wa vijana wa kanisa la Hema ya Washindi Center Ndugu Leonald Tunda akitoa matangazo katika ibada hiyo.
Baadhi ya watoto wakipokea zawadi pamoja na wazazi wao katika Ibada ya sherehe iliyofanyika kanisani hapo.
Zoezi la ugawaji wa zawadi likiendelea kanisani hapo.
Baadhi ya watoto wa kanisa la Hema ya Washindi Center wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ibada hiyo kumalizika.
Watoto Zephania Hanania (kushoto) na Sedekia Tito wakiwa katika ibada ya sherehe iliyofanyika kanisani hapo.











Hakuna maoni:
Chapisha Maoni